Cardi B amjibu Nicki Minaj kwa staili ya aina yake - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Cardi B amjibu Nicki Minaj kwa staili ya aina yake

Rapper wa kike kutoka Marekani Belcalis Marlenis Almanzar a.k.a Cardi B ameamua kumjibu mpinzani wake mkubwa kwa sasa Nicki Minaj kwa staili ya aina yake kupitia ukurasa wake wa Instagram.Kabla ya drama hizi kuendelea hawa madada wawili kutoka Marekani walianza vizuri kufanya muziki lakini maigizo yalianza pale waliposhirikishwa katika nyimbo moja na kundi la muziki kutoka nchini humo linalojulikana kama Migos katika nyimbo yao ya Motorsports.


Baada ya maigizo hayo kuendelea Nicki alikuja kuongea katika vyombo vya habari na kudhibitisha kuwa hana ugomvi na Cardi B na kumpongeza kwa mafanikio yake makubwa aliyoyapa kupitia muziki wake,lakini alipoulizwa Cardi B hakuonesha kufurahishwa na maneno hayo ya Nicki.Baada ya Cardi B kujifungua mtoto wake alianza vibwanga kwani alianza kupost video zinazoonesha akimponda msanii flani ambaye hakuweza kumtaja jina na siku ya maadhimisho ya mitindo yanayofanyika kila wiki katika jiji la New York zinazojulikana kama Harper Bazaar ICONS ambapo u... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More