CCM wajipanga kumrudisha Rais Magufuli 2020 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CCM wajipanga kumrudisha Rais Magufuli 2020

MWENYEKITI wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa, Dk. Edmund Mndolwa amewaagiza wajumbe wa Baraza Kuu la Wazazi kujipanga kikamilifu ili wamrudishe madarakani Rais Dk. John Magufuli 2020. Anaripoti Danson Kaijage, kutoka Dodoma … (endelea). Dk. Mndolwa aliyasema hayo jijini hapa wakati akifunga mkutano wa baraza kuu la wazazi Taifa akisema mwaka 2019 ni mwaka wa ...


Source: MwanahalisiRead More