CCM YAFUNGA KAMPENI ZA UDIWANI MTWARA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CCM YAFUNGA KAMPENI ZA UDIWANI MTWARA


Joseph Mpangala -Mtwara.

Mbunge wa nanyumbu William Dua amelazimika kupiga magoti kumuombea Kura Mgombea wa Udiwani Kupitia Chama Cha mapinduzi CCM kata ya Nalingu iliyopo Mtwara Vijijini Shaibu Mtavanga katika Siku ya Mwisho ya Kufunga kwa kampeni za Uchaguzi wa Udiwani Zitakazofanyika Jumapili ya Wiki hii.

Katika Mkutano wa Hadhara Uliohudhuliwa na mamia ya wananchii wa Kijiji cha Nalingu Mbunge wa nanyumbu Seleman Dau alisema Kitendo cha Kupiga magoti kwa utamaduni wa kabila lake ni heshima kubwa hivyo Kuwaomba wakazi wa kijiji hicho Kumpigia Kura ya Ndio Diwani anayegombea kwa Tiketi ya Chama cha mapinduzi.

Awali Mbunge wa Mtwara Vijijini Hawa Ghasia{CCM}amesema tayari anavisima 30 ambavyo vipo kwenye Mpango wa Kujengwa ili kumaliza changamoto ya maji iliyopo katika Nalingu hivyo Kuwaomba wananchii kujitokeza Kupiga Kura ili aweze kushirikiana na Diwani atakayewaletea maendeo.

“Tunauwezo wa kujenga Barabara kwa maendelao ya hapa Nalingu,Tayari ninavisima 30 Nahitaji... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More