CCM yajipanga kuchunguza mali zake - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CCM yajipanga kuchunguza mali zake

 Baraza la Wadhamini wa Chama Cha Mapinduzi, chini ya Mwenyekiti wake Mama Anna Magreth Abdalla, limekutana kwa mara ya kwanza tangu kuteuliwa kwake tarehe 10/07/2018. Kikao hicho kilichofanyika kuanzia tarehe 08 hadi 10 Oktoba 2018 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Lumumba, Dar es Salaam. Katika kikao hicho, pamoja na mambo mengine, Baraza limeipitia


Source: Kwanza TVRead More