CCM YATOA NENO MJADALA UNAONDELEA MTANDAONI KUHUSU DK.BASHIRU NA MEMBE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CCM YATOA NENO MJADALA UNAONDELEA MTANDAONI KUHUSU DK.BASHIRU NA MEMBE

*Yawataka Watanzania wakiwamo wanaCCM kupuuza uzushi, uchonganishi na fitna*Kamati Kuu kukutana Desemba 17 na 18 Dar, yazungumzia pia ushindi wa kishindo 
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesema kuwa kimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii  kuhusu wito ambao umetolewa na Katibu Mkuu wao Dk.Bashiru Ally kwa kada wa Chama hicho Benard Membe kama sehemu ya utaratibu wa kawaida wa Katibu Mkuu kukutana na viongozi na wanachama wa CCM katika kuendelea kuimarisha umoja na mshikamano.
Taarifa ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM Humphrey Polepole ambayo ameitoa leo Desemba 3 mwaka huu wa 2018 amesema kuwa wanatoa rai kwa rai kwa watanzania kuwa wito wa Katibu Mkuu ulikuwa ni wa kawaida wa kiongozi wa CCM kwa mwanachama wa CCM, hivyo uzushi, uchonganishi, fitina na uvumi mwingine wowote unaoendelea hasa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yenye hila mbaya, wana CCM na Umma wa watanzania wanaombw... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More