CCM yatuhumiwa kuihujumu ilani yake - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CCM yatuhumiwa kuihujumu ilani yake

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetuhumiwa kuhujumu ilani yake ya uchaguzi wa mwaka 2015 na wabunge wa upinzani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Wakizungumza katika nyakati tofauti leo tarehe 14 Novemba 2018 bungeni jijini Dodoma, Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe na wa Momba, David Silinde wamesema serikali ya CCM imeshindwa kutekeleza baadhi ya ahadi zilizomo ...


Source: MwanahalisiRead More