Cellebrite kutoka Israeli: iPhone Bilioni 1.4 zinaweza kudukuliwa - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Cellebrite kutoka Israeli: iPhone Bilioni 1.4 zinaweza kudukuliwa

Ushawahi kusikia kuhusu kampuni ya Cellebrite kutoka nchini Israeli? Tusharepoti kuhusu kampuni hii na biashara waliyofanya na FBI, na sasa wamekuja na taarifa mpya. Wanamiliki teknolojia yenye uwezo wa kudukua simu yeyote inayotumia toleo la iOS 12. Toleo la iOS 12 ndio toleo jipya zaidi kwenye simu za iPhone kwa sasa, na kampuni ya Cellebrite [...]


The post Cellebrite kutoka Israeli: iPhone Bilioni 1.4 zinaweza kudukuliwa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More