Chadema kifua mbele Tunduma, serikali yasusa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chadema kifua mbele Tunduma, serikali yasusa

UJENZI wa barabara, ujenzi wa vyoo, shule na uchimbaji visima umeimarisha taswira ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mbeya. Anaripoti Ibrahim Yassin … (endelea). “Kuwepo kwa mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo ujenzi wa visima vya maji, barabara kuwekwa lami pia ujenzi wa madarasa, kumeendeeleza taswira chanya ya ...


Source: MwanahalisiRead More