Chadema kwachafuka, watimua madiwani wake - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chadema kwachafuka, watimua madiwani wake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbeya, kimetangaza kuwavua uanachama madiwani wake watatu kwa madai ya “utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama.” Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Uamuzi huo umetangazwa leo mjini Mbeya na katibu wa chama hicho wilayani humo. Madiwani waliovuliwa uanachama, ni Newton Mwatujobe kutoka kata ya Manga; Godfrey Kagili ...


Source: MwanahalisiRead More