Chadema, NCCR-Mageuzi wapigwa ‘stop’ Tarime - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chadema, NCCR-Mageuzi wapigwa ‘stop’ Tarime

MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Mara amesitisha mikutano yote ya kampeni ya vyama vya upinzani kwenye kata hiyo. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa hizo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii kupitia barua inayodaiwa kutolewa na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Turwa, Peter Julius yenye kichwa cha habari; KUSITISHWA KWA ...


Source: MwanahalisiRead More