Chadema, serikali wavimbiana - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chadema, serikali wavimbiana

SERIKALI mkoani Simiyu imepiga marufuku kufanyika Mkutano wa ndani wa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema) kesho tarehe 21 Oktoba 2018, hata hivyo chama hicho kimesema kitafanya. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mkutano wa ndani wa Chadema umeelezwa kujikita zaidi katika ujenzi wa chama baada ya kuamua kususia chaguzi zote zitazotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ...


Source: MwanahalisiRead More