Chadema yamwinda Maalim Seif, CUF yang’aka - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chadema yamwinda Maalim Seif, CUF yang’aka

VITA vya kisiasa ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) vinawasogeza karibu viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na sasa wanampigia hesabu Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa chama hicho. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Chadema imeeleza kuwa, Maalim Seif atakuwa mgombea urasi wake kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 visiwani Zanzibar pale ...


Source: MwanahalisiRead More