Chadema yasusia uchaguzi wa marudio jimbo la Liwale na Kata 27 - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chadema yasusia uchaguzi wa marudio jimbo la Liwale na Kata 27

Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),  kisemesema hakitashiriki  uchaguzi mdogo wa marudio unaotarajiwa kufanyika siku za hivi karibuni, ukihusisha jimbo moja la Liwale na Kata 27, ambazo viongozi wake walijivua madaraka kwa sababu mbalimbali ikiwemo kuhama chama. Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe,  amesema msimamo huo ni baada ya Kamati ndogo ya Kamati Kuu ya Chadema,


Source: Kwanza TVRead More