Chadema yazindua Sera mbadala ya maendeleo ya Taifa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chadema yazindua Sera mbadala ya maendeleo ya Taifa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua sera mbadala ya Taifa leo Jumanne tarehe 25 Septemba, 2018. Akizungumza wakati wa uzinduzi, Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema hii ni mara ya pili kwa chama chake kuandaa na kuzindua sera mbadala ya taifa tangu kuanzishwa kwa chama hicho mwaka 1992. “Mwanzoni mwa mwaka ...


Source: MwanahalisiRead More