Chama anatisha kama kimbunga - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chama anatisha kama kimbunga

Napenda kiujumla kuwapongeza wachezaji wa klabu ya Simba, kwa ushindi walioupata leo kwa kujituma kwa sababu ni moja michuano mikubwa Barani Afrika, napenda pia kuwaambia pia muendelee kujituma mutuwakilishe Tanzania, nyie ndo timu pekee mpo kwenye michuano hiyo. .

.

Clautious Chota Chama, moja viungo bora niliyowahi kuonana katika ligi kuu Tanzania Bara, huyu mchezaji ni kiungo mshambuliaji ni mzuri kwenye kutengeneza nafasi za mabao na hata kufunga ni wachache sana kupata viungo hawa huwa tunasema complete attacking midfielder, kwa maana ya kiungo mshambuliaji aliyekamilika kila kitu akiwa uwanjani.

.

.


Niliwahi kumsikia msemaji wa klabu ya Simba Haji S manara ,akisema Chama ana uwezo mkubwa sana uwanjani kama angepata nafasi alikuwa hata ana uwezo wa kuchezea klabu ya Arsenal, kwa umahili wake mkubwa uwanjani. .

.

Je unakubaliana na kauli msemaji wa klabu hiyo?me binafsi naweza tuyaheshimu mawazo yake Chama, huwa mara nyingi zaidi anacheza katikati juu ya Mkude, na Kotei, ndo maana ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More