Chama anatisha sana, Ajib ana mengi ya kujifunza - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chama anatisha sana, Ajib ana mengi ya kujifunza

Hawa wote ni wachezaji wanaocheza ligi kuu Tanzania Bara. Pia wanacheza timu kubwa hapa nchini ambazo zina historia kubwa. Wote msimu huu wameonyesha kiwango kikubwa katika timu zao.


Bila shaka hawa ni washambuliaji ambao wamekuwa kivutio kikubwa sana.


Ibrahim Ajibu


Jukumu: Anacheza kama kiungo mchezeshaji au kiungo mshambuliaji. Amekuwa na ufanisi murua anapokuwa na mpira nyuma ya mshambuliaji.Faida zake: Ni mwepesi kupiga pasi za mwisho ambazo mara kadhaa zimekuwa na madhara. Ana uwezo wa kuratibu mipango wa mpira mirefu. Akili yake ina uwezo wa kufanya kazi kwa haraka. Nidhamu yake ya kuhakikisha mpira unapaswa kufika eneo husika na kwa haraka. Ana uwezo wa kufungua macho na kuona mbali.


Madhaifu: Ajib ni mvivu. Ni mzuri wakati timu ikiwa inashambulia. Timu ikiwa na mpira kwenye robo ya eneo la adai utauona uzuri wake. Ajib anapenda kutembea kuliko kukimbiam


Clautous Chota Chama


Kwa sasa yawezekana kuwa ndiye kiungo bora ligi kuu bara? Kwangu mimi jibu ni ndio. Chama hachagui shoo... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More