Chama, Dilunga wamtesa Mbelgiji - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chama, Dilunga wamtesa Mbelgiji

MNAKUMBUKA ule msala uliwahi kumpata Kocha Joseph Omog juu ya viungo wake, Jonas Mkude na James Kotei? Kama mmesahau Omog alikuwa akimpanga Kotei na kumweka benchi Mkude, jambo lililomfanya acharukiwe na mashabiki, kabla ya baadaye kuamua kuwatumia wote pamoja kwa nafasi tofauti.


Source: MwanaspotiRead More