Chama la England litakaloanza hili hapa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chama la England litakaloanza hili hapa

England bana, kweli wana kiherehere. Kombe la Dunia linaanza wiki ijayo huko, lakini wao tayari wameshaweka hadharani kikosi chao kitakachoanza kwenye mechi ya kwanza na Marcus Rashford ataanzia benchi licha ya kuonyesha kiwango kikubwa kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Costa Rica, Alhamisi iliyopita.


Source: MwanaspotiRead More