Chambua: Serengeti Boys wasahau ya Uturuki, Afcon yao - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chambua: Serengeti Boys wasahau ya Uturuki, Afcon yao

Mchezaji wa zamani wa Yanga, Sekilojo Chambua amesema licha ya timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' kutolewa mapema katika mashindano ya UEFA Assist kule Uturuki, bado ina nafasi ya kufanya vizuri kwenye Afcon inayoanza kutimua vumbi mwezi ujao nchini.


Source: MwanaspotiRead More