Videos by Bongo 5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 Videos by Bongo 5

Tazama Askofu Gwajima akimshushia maombi Rais Magufuli Ikulu

Channel : Bongo 5

Hivi ndivyo Askofu Josephat GWAJIMA alivyomshua maombi Rais Magufuli na viongozi wote watakaohusika na ujenzi wa mradi wa Stigler's Gorge. Askofu GWAJIMA ni moja ya Viongozi wa Dini walioalikwa Ikulu Leo kushuhudia utiaji saini wa mradi huo.SHETTA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU DIAMOND/SIONGEI NAE/ASLAY ALIUMIA

Channel : Bongo 5

SHETTA AFUNGUKA HAYA KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ LAKINI PIA AFUNGUKA INSHU YA ASLAY KUANGUKA JUKWAANI KENYA.SHUHUDIA MC PILI PILI ALIVYOCHANA MISTARI/MWL MKUU ALINIFUMANIA DARASANI

Channel : Bongo 5

SHUHUDIA MC PILI PILI ALIVYOCHANA MISTARI/MWL MKUU ALINIFUMANIA DARASANIDSTV NOW MPIRA KIGANJANI: MANCHESTER UNITED VS VALENCIA UEFA, KWA UDHAMINI WA VODACOM

Channel : Bongo 5

MPIRA KIGANJANI: MANCHESTER UNITED VS VALENCIA UEFA, KWA UDHAMINI WA VODACOMMbunifu Elly Fire : Nikki acha awe Rais tu / Amenilipa milioni 2 / Sijawahi kulipwa

Channel : Bongo 5

Mbunifu wa mavazi, Elly Fire amefunguka kumzungumzia rapa Nikki wa Pili kutoka kundi la Wausi kwamba ni moja kati ya wasanii ambao walimlipa pesa nyingi bila kutajaria kutokana na kazi ya ubunifu aliyomfanyia kupitia video yake.Shilole: Mimi ni bosslady mwaka 2018, nimeingiza tsh milioni 150

Channel : Bongo 5

Msanii wa muziki, Shilole amefunguka kwa kudai kwamba mwaka 2018 ni mwaka wenye mafanikio zaidi kwake kutokana na kuingiza mtonyo mrefu kupitia deal mbalimbali za matangazo.Shilole alamba dili ya mamiilioni HC Pads / aeleza siri ya ushindi

Channel : Bongo 5

Msanii wa muziki, Shilole Jumatano hii amelamba deal lingine la ubalozi kutoka kampuni ya HC Pads yenye makazi yake jijini Dar es salaam. Muimbaji huyo amesema deal hiyo zinakuja kwake kutokana na namna anavyojishughulisha na kazi zake binafsi nje ya muziki.Mtandao wa kwanza Tz kugawa vocha bure kwa watumiaji wake

Channel : Bongo 5

Ukisikia #YajayoYanafurahisha basi kweli #VodacomTanzania wanaamisha kwani watumiaji wake ni kila siku wanaendelea kufurahia huduma mbalimbali zinazowarahishia maisha.Mambo 5 yanayomfanya Ruge kuwa na sifa ya

Channel : Bongo 5

Ruge alianza kujulikana rasmi kwenye tasnia ya burudani baada ya kuanza kufanya kazi kama Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, na baadaye kwenye Tamasha kubwa la muziki la Fiesta, Nyumba ya Kukuza Vipaji Tanzania THT, Semina za Fursa pamoja na mambo mengine mengi ambayo ameyafanya nyuma ya pazia. Haya ni mambo 5 ambayo ameyafanya Ruge na kuchangia ukuaji wa Mukizi wa BongoFleva Tanzania.SHETTA AFUNGUKA KUFUNGA NDOA NA MANGE KIMAMBI  BAADA YA KUACHANA NA MKE WAKE " NTAMUOA MANGE"

Channel : Bongo 5

SHETTA AFUNGUKA INSHU YA KUFUNGA NDOA NA MANGE KIMAMBI BAADA YA KUACHANA NA MKE WAKE " NTAMUOA MANGE KIMAMBI"Watu 20 wakamatwa na Polisi kwa kushambulia Gari la Mwendokasi

Channel : Bongo 5Rais Magufuli aipa makavu TRA / Atoa vitambulisho kwa Machinga

Channel : Bongo 5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amechapisha vitambulisho 670,000 ambavyo vitagawiwa kwa wajasiriamali wadogowadogo wa mikoa yote nchini baada ya kuona mchakato wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwapatia unachukua muda mrefu tangu alipoagiza wasajiliwe ili watambulike rasmi.Kamishna wa TRA Kichere: TRA imekusanya ya Tsh trilioni 3.8

Channel : Bongo 5

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere alimweleza Rais Magufuli kwamba TRA imekusanya tsh trilioni 3.8Inasikitisha: Diamond alivyoanguka stejini Sumbawanga Wasafi Festival

Channel : Bongo 5MSANII KALLIS ALIYEUZA MAJI NA HARMONIZE UBUNGO ATOA SIRI HII KUHUSU HARMONIZE

Channel : Bongo 5

MSANII KALLIS ALIYEUZA MAJI NA HARMONIZE UBUNGO ATOA SIRI HII KUHUSU HARMONIZENDOTO HUB YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WANAWAKE  WAJASIRIAMALI

Channel : Bongo 5Rais Magufuli amkabidhi RC Makonda boksi za vitambulisho

Channel : Bongo 5

Rais Magufuli amemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na wakuu wa mikoa wengine maboksi ya vitambulisho kwaajili ya kuwapatia wajasiriamali wadogo ili kuepukana na kusumbuliwa na TRA na Halmashauri kuhusu kulipa kodi.WASAFI FESTIVAL yaahirishwa Sumbawanga kisa Mvua/ Lavalava afanya yake jukwaani na giza

Channel : Bongo 5

Tamasha la Wasafi limeahirishwa Sumbawanga mpaka kesho kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha mjini hapa usiku huu.Diamond atoa tani 1 ya mchele na mitaji kwa walemavu Sumbawanga

Channel : Bongo 5

Wanakijiji cha Senti Manispaa ya Sumbawanga wamependekeza jina la Shule ya Msingi ya Senti lifutwe na Shule hiyo kuanzia sasa iitwe DIAMOND PLATNUMZ. Mwenyewe @diamondplatnumz amekubali na ameahidi kutoa Tsh.Milioni 60 na mabati 100 kukamilisha ujenzi wa Shule hiyo.Sumbawanga: Diamond na Wasanii wenzake wametoa Msaada kwa walemavu

Channel : Bongo 5