Videos by Global Publishers | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 Videos by Global Publishers

VOA: Shaka Extra Time Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyhTRC yajipanga kuboresha Reli/madaraja kujengwa Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Reli nchini Tanzania, Masanja Kungu, ameongela mafanikio mbalimbali ya shirika hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ya serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli. Akizungumzia mafanikio hayo Masanja Kungu, amebainisha wazi kuwa, kwa kipindi kifupi cha serikali ya awamu ya tano wamefanikiwa kuanzisha miradi mikubwa upande wa reli. Moja ya miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa reli ya kisasa kwa ajili ya treni za umeme pamoja na ujenzi wa madaraja makubwa. Madaraja hayo yanategemewa kujengwa sehemu mbalimbali nchini. Kwa upande mwingine mkurugenzi huyo ameeleza malengo ya shirika la reli Tanzania ikiwa ni pamoja na kujipanga kujenga reli ya kisasa kwa mikoa yote Tanzania. mkurugenzi amesisitiza kuwa "kutokana na vifaa vyetu kuwa na uzito mkubwa ambao unaweza kuathiri barabara tumejipanga kutumia reli za zamani zilizopo" aliongeza kuwa ni vyema kulinda reli iliyopo sasa ili isaidie zaidi katika usafirishaji wa vifaa vitakavyotumika katika ujenzi wa reli ya kisasa. #TRC #RELI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyhoMSIGWA Akinukisha Bungeni, Ridhiwani Kikwete Amvaa Waziri!! Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:Mtoto wa Kikwete Alivyosimama Bungeni "Serikali inatudanganya" Mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amesema ni muda mrefu sasa tangu ujenzi wa miundombinu ya mradi wa maji awamu ya tatu usimame je serikali imechukua hatua gani kuhakikisha inamaliza tatizo la maji katika Halmshauri ya Chalinze. #BUNGENIDODOMA @RIDHIWANIKIKWETE Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:Moto wa MSIGWA Bungeni, Amnyanyua Waziri! Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema) , Peter Msigwa, amesimama Bungeni na kuuliza swali, Ni Kwanini serikali isiimarishe vyuo vya Ufundi Veta katika maeneo mbalimbali ili vijana wa Kitanzania wapate ujuzi ambao utawafanya waweze kujiajiri katika dhana hii ya viwanda. Swali la Mchungaji Msigwa, limejibiwa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira, Kazi na wenye Ulemavu, Antony Mavunde. #BUNGENIDODOMA #MSIGWA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers InstagramMaajabu ya Kifua Cha Benificial Chalii wa Arusha Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tzZiara ya Makamu wa Rais SAMIA Hai Amuulizia Mbowe! Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu amehitimisha ziara yake katika mkoa wa kilimanjaro katika Wilaya ya Hai na kuzungumza na umati wa wananchi waliojitokeza kumsikiliza.Katika Ziara hiyo aliongozana na Mawaziri wawili waziri wa Tamisemi Selemani Jafo na Wilium Lukuvi Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:LIVE: Taarifa ya Habari Kutoka TBC1 (Novemba 14, 2018 - Asubuhi) Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyhoMAGAZETI NOV 14: LULU Atakiwa Kurudi Tena Gerezani Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "MUME BWEGE ANATAKA KUTUMBULIWA JIPU HADHARANI" https://www.youtube.com/watch?v=N1X-fD201ZU -~-~~-~~~-~~-~-KAMANDA MUSILIMU “Kamata, Tia Pingu, Weka Ndani”. Vikosi cha usalama barabarani katika mikoa ya Dodoma na Morogoro vimejipanga kuhakikisha ajali zinazo sababishwa na ukiukwaji wa sheria za barabarani hasa upande wa madereva wa serikali na viongozi zinatokomezwa. Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Kamanda wa polisi N.K Selemani, amesema kuwa wao kama polisi wamejipanga kuhakikisha kuwa madereva wa serikali hawatendi makosa ya kiusalama hususa ni katika kipindi hiki ambacho serikali inaamia Jijini Dodoma. " inawezekana wakati serikali inaamia dodoma ajali za barabarani zikaongezeka sisi tumejipanga kuhakikisha usalama na sheria za barabara zinafatwa." alisema kamanda Selemani. Kwa upande wake Kamanda wa polisi mkoa wa morogoro SACP Fortunatus Musilimu amedai kuwa madereva hao kwa sasa wanabadili muda wa kusafiri ili kuwakwepa polisi. Ameongeza kuwa polisi wapo mguu sawa wakati wote usiku na mchana hivyo ni vyema madereva wakifata sheria za barabarani. " ...tutaweka gari la doria usiku ilikusudi wale wote wanaokimbia usiku sisi tutakamata.... wakibadili mbinu na sisi tunabadili ni kamata, piga pingu weka ndani " alisema kamanda Musilimu. #POLISITANZANIA #TANPOL Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:NANCY SUMARY Afunguka Maisha Yake ya Kuepuka SKENDO!! Leo katika exclusive interview ameonekana mwanadada mjasiriamali NANCY SUMARY, ambaye aliwahi kutwaa taji la miss Tanzania 2005 na kushiriki shindando la miss world 2005. NANCY SUMARY amekuwa haonekani sana katika mitandao ya kijamii kama ilivyo kwa mastaa wengine. Mlibwende huyo amefunguka nakusema kwa sasa amekuwa busy na shughuli mbalimbali ambazo zinamfanya asionekane sana katika mitandao. " kwanza kabisa kwa sasa nimehama mbele ya kamera nipo nyuma ya kamera". Kwa sasa NANCY SUMARY amedai ni managing director wa kampuni ijulikanayo kama Bongo5. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:BREAKING: Magari ya JWTZ Yakitimka Kwenda Kubeba Korosho Ikiwa takribani siku mbili zimepita tangu Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, atangaze uamuzi wa serikali kununua korosho zote kwa wakulima kwa bei ya shilingi 3300. Leo Novemba 14, 2018, Magari 70 ya jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha Usafirishaji 95 KJ yameanza safari ya kuelekea mkoani Mtwara kwaajili ya zoezi la kusomba koro #JWTZ #KOROSOHO #RAISMAGUFULI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyhoSIMBA SC watangaza viingilio/SIMBA Vs BIG BULLETS ya malawi. Siku ya ijumaa novemba 16, 2018 nyasi za uwanja wa Taifa zitapata tabu kufatia timu ya soka Tanzania bara ambayo pia ni mabigwa wa ligi kuu ya vodacom, Simba sports club watamenyana na mabigwa wa ligi soka nchini zambia Big bullets. Mtanange huo unategemewa kushuhudiwa na wapenda soka wengi nchini kutokana na bei za majukwaa kuwa ya gharama nafuu zaidi. Akitangaza bei ya kushuhudia mtanange huo, msemaji mkuu wa simba sports club Haji Manara amedai kuwa bei za viingilio ni shilingi elfu tatu (3000), elfu saba (7000) na elfu kumi (10000). kuwatoa hofu mashabiki wa simba manara amesema " kwa sasa tuna kikosi kikubwa ambacho licha ya baadhi ya wachezaji kwenda timu ya taifa tutafanya vizuri". Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:Mtazamo wa MWALIMU Nyerere Kuhusu Mchango wa Elimu ya JUU SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyhoMTOTO Kupotea MGANGA Kazua KIMBEMBE Majanga! ndivyo unavyoweza kusema baada ya sakata la kupotea kwa mtoto Gabriella Kilimba mwenye umri wa miaka mitatu kuchukua sura mpya ambapo mganga mmoja jijini Dar amezua kimbembe huku baba na mama wakishwa kuelewana. mtoto Gabriella alipotea miezi miwili iliyopita akiwa amelala nyumbani kwao Ukonga Mazizini Dar es Salaam baada ya mamayake mzazi kwenda hospitali iliyoko karibu kwaajili ya kuchomwa sindano. SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyhoCheki JWTZ walivyojipanga kusomba Korosho, Magari 70!! Ikiwa takribani siku mbili zimepita tangu Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, atangaze uamuzi wa serikali kununua korosho zote kwa wakulima kwa bei ya shilingi 3300. Leo Novemba 14, 2018, Magari 70 ya jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha Usafirishaji KJ 95 yameanza safari ya kuelekea mkoani Mtwara ili kwa ajili ya zoezi la kusomba korosho. #JWTZ #KOROSHO SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyhoKati ya yale ambayo huwezi kuamini ni kuona namna ambavyo watu huvuka mipaka hadi ugenini na kufanya mambo mazito zaidi. Ili kufahamu kuwa ni kitu gani kinaendelea hakikisha unafuatilia video hii mwanzo mwisho. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:BREAKING: Mawaziri wapya Washtukiza kiwanda cha korosho Lindi IKIWA ni siku mbili tu tangu Rais Magufuli afanye mabadiliko katika baraza la mawaziri na Kumteua, Innocent Bashungwa kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, huku Joseph Kakunda akiteuliwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara na Japhet Hasunga kuwa Waziri wa Kilimo. Mawaziri hao ambao wameapishwa jana, wameanza kazi rasmi leo kwa kufanya ziara ya kushtukiza mkoani Lindi kwa ajli ya kukikagua kiwanda cha Kubangua Korosho ambacho Rais alitangaza jana kuwa kiwanda hicho sasa kipo chini ya JWTZ. SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.glWaziri Alietunbuluwa Alivyopokelewa Kwa Shangwe Bungeni Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:RAYVANNY Alivyotinga BASATA leo kuwekwa Kikaangoni! HITMAKER wa ngoma ya Mwanza almaarufu kama Nyegezi, Rayvanny, ametinga katika ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa ajili ya kuitikia wito wa baraza hilo baada ya jana baraza kutangaza kuwa wameufungiwa wimbo wake huo mpya aliomshirikisha Diamond Platnumz, kutokana na wimbo kutokuwa na maadili. Rayvanny ametinga katika ofisi hizo akiwa ameambatana na meneja wake, Makame Boy, kwa ajili ya kukutana na kamati ya Maadili ya Baraza hilo ambayo inaoongozwa na Katibu Mkuu wa Basata, Godfrey Mngereza, ambaye ndiye aliyetangaza kufungiwa kwa wimbo huo na kuwaandikia barua ya wito wa kuwataka wafike katika ofisi hizo. Mpaka wimbo huo unafungiwa ulikuwa namba moja on Trending List huku ukiwa umetazamwa na watu zaidi ya Milioni Moja kwenye mtandao wa Youtube. #BASATA #MWANZANYEGEZI #RAYVANNY SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl