Videos by Millard Ayo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 Videos by Millard Ayo

LIVE Kipindi cha maswali na majibu Bungeni Dodoma

Channel : Millard AyoKATAMBI ALIVYOINGIA KUPAMBANA NA GARAGE BUBU DODOMA

Channel : Millard Ayo

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Patrobas Katambi ameamua kuingia mtaani kupambana na Garage bubu ambazo zipo kwenye maeneo yasiyo rasmi na kufanikiwa kukamata watu saba waliokuwa wanafanya shughuli hizo bila kuwa na vibali maalum.A-Z: Mzee aliyekwenda na kipande cha gazeti Hospitali ya Muhimbili ili atibiwe haraka

Channel : Millard Ayo

Leo November 14, 2018 tunayo story kutokea kwa Mzee Alphonce Said ambaye amekwenda na kipande cha Gazeti katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Mloganzila ili aweze kupatiwa matibabu kwa haraka. Akizungumza na Ayo Tv, Mzee Said amesema alikwenda hospitalini hapo baada ya kusoma kwenye gazeti na kuona kuna taarifa kuhusu watu kupimwa bure afya zao katika hospitali hiyo, ambapo aliamua kwenda na gazeti lake kama ushahidi."Madereva wa serikali nawapiga Pingu, mahakamani, tunawaondolea sifa"-Kamanda Muslim

Channel : Millard Ayo

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Fortunatus Muslim ameanza Oparesheni ya kuhakikisha barabara zinakuwa salama na kuepusha ajali ambazo sio za lazima, hasa magari ya serikali kwani madereva wengi wa serikali wanaonekana wapo juuu ya sheria. Amesema akikamata dereva wa serikali amefanya kosa, anamfunga Pingu anampeleka mahakamani kisha anaondolewa sifa.LIVE MAGAZETI: Siri ya Rostam kuteta na JPM, Waliomteka MO Dewji mbaroni Tunduma

Channel : Millard AyoBREAKING: JWTZ KUKABIDHIWA KIWANDA CHA KUBANGULIA KOROSHO

Channel : Millard Ayo“Sitaki kuongea lugha za kufurahishana hapa, haiwezekani”-Naibu Waziri Mgumba

Channel : Millard AyoLIVE: DK. MVUNGI ANAVYOKUMBUKWA,  ISHU YA KATIBA MPYA YATAWALA

Channel : Millard Ayo"Usijechanganyikiwa ukasema Rais Magufuli ana urafiki na mtu" Mwaselela

Channel : Millard AyoHAPA NDIPO ULIPOFIKIA UJENZI WA RELI YA KISASA

Channel : Millard AyoKitu Kingine Kipya wametuletea Monalisa na Adam Mchomvu ISIKUPITE

Channel : Millard AyoSerikali yapiga marufuku Walimu kutoa adhabu ya viboko kwa wanafunzi

Channel : Millard AyoKauli ya Charles Tizeba kwa Rais Magufuli baada ya kumtumbua

Channel : Millard Ayo

Ikiwa zimepita siku nne tangu Rais John Pombe Magufuli atengue uteuzi wa baadhi ya Mawaziri aikiwemo Charles Mwijage pamoja na Charles Tizeba, leo November 13, 2018 Charles Tizeba alipata nafasi ya kuuliza swali la nyongeza ambapo alitumia nafasi hiyo kufikisha salamu kwa Rais Magufuli.TAARIFA MPYA: Marekani yaionya Tanzania

Channel : Millard Ayo

Taarifa kutoka katika tovuti ya Ubalozi wa Marekani leo November 13, 2018 imeandikwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo inasema "Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga mazingira ya vurugu, vitisho na ubaguzi."Chakufahamu Leo kutoka Makao Makuu ya TATU MZUKA

Channel : Millard AyoTRA yawacharukia wasiotumia Mashine EFDs Kigoma

Channel : Millard AyoGood News: Wakulima waanza kuwezeshwa Kiteknolojia

Channel : Millard AyoAgizo la Serikali kwa Mkurugenzi wa Kigoma

Channel : Millard AyoSuala la Ushoga, Sheikh Mkuu Tanzania atoa kauli

Channel : Millard Ayo"Wachunaji ndio wanapewa kipaumbele,Tunapigwa"-SHAMSA FORD "

Channel : Millard Ayo