Chaz Baba Adaiwa Kubadili Dini Ili Aoe Mke Mwingine - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chaz Baba Adaiwa Kubadili Dini Ili Aoe Mke Mwingine

Msanii wa muziki wa Dansi nchini kutokea bendi ya The African Stars band ‘Twanga Pepeta’ Charles Gabriel maarufu kama Chaz Baba amedaiwa kuabadilisha dini ili apate kuoa mke mwingine.


Global Publishers wanaripoti kuwa Chaz Baba anadaiwa kubadilisha dini kutoka Ukristo kwenda Uislam ili aweze kuoa mke mwingine huku ndoa yake ya kwanza na mwanamama Rehema Sospeter ambaye alifunga naye kanisani ikidaiwa kuvunjika.


Inaripotiwa kuwa kulikuwa na mgogoro wa mda mrefu kati ya Chaz Baba na mkewe huyo kiasi ambacho kuna kipindi mkewe huyo alikuwa akiondoka na kurudi kwao kisha kurejea tena kwa mumewe. Ilisemekana kwamba ilikuwa ni kawaida yao kutofautiana na kuyamaliza, lakini safari mkewe aliondoka na hakurudi tena.


Baada ya mkewe kugoma kurudi ndipo Chalz Baba alianza harakati za kutaka kuoa Mke mwingine kwa kubadilisha dini.


Baada ya Tetesi hizo Gazeti la Ijumaa lilimsaka Chalz Baba ili kupata ukweli wake ambapo alikiri kubadilisha dini na kusisitiza anaoa mwanamke ambaye sio maarufu b... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More