Cheki Big Six zinavyopiga pesa kupitia wachezaji wa akademia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Cheki Big Six zinavyopiga pesa kupitia wachezaji wa akademia

LIGI Kuu England inarudi wikiendi hii baada ya kupisha mechi za kimataifa kwa kipindi cha wiki mbili. Mashabiki wa soka walipata uhondo wa michuano ya UEFA Nations League na ile ya kufuzu kwa Afcon 2019 kwa kipindi hicho cha wiki mbili, kabla ya utamu wao wa Ligi Kuu England kurudi upya wikiendi hii. Kwenye Ligi Kuu England kuna klabu zinazofahamika kama Big Six kwa maana ya Man


Source: MwanaspotiRead More