Cheki pesa iliposhindwa kununua mapenzi kwa mastaa hawa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Cheki pesa iliposhindwa kununua mapenzi kwa mastaa hawa

Wanasoka hawa hapa walipata ofa tamu ya kwenda kujiunga na klabu vigogo vya Ulaya, lakini wakagoma na kufanya kile wao walichokiona kinafaa kwenye mapenzi yao juu ya mchezo huo. Mapenzi yao hayakununuliwa kwa pesa.


Source: MwanaspotiRead More