Chelsea ,Arsenal wamsaka Jean-Michael Seri kwa pauni milioni 40 - Sports Kitaa | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chelsea ,Arsenal wamsaka Jean-Michael Seri kwa pauni milioni 40

Arsenal wamefanya mazungumzo na kiungo wa kati wa Nice Jean-Michael, 26, ambaye thamani yake ni pauni milioni 40. Lakini mahasimu wao wa London Chelsea wanaongoza mbio na kumsaini raia huyo wa Ivory Coast. (Mirror)


Source: Sports KitaaRead More