Chelsea kumsaka mbada wa Courtois, Rio aionya Man United - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chelsea kumsaka mbada wa Courtois, Rio aionya Man United

Klabu ya Manchester United, imegoma ofa kutoka kwa klabu ya Barcelona, kitita cha paundi million 45 na pamoja na wachezaji wawili ambao ni Andrei Gomes, na Yerry Mina, kama sehemu ya uhamisho wa kiungo wao Paul Pogba, kujiunga na Barcelona.


Klabu ya Chelsea, ipo tayari kutoa kiasi cha paundi millioni 89 kumnunua goli kipa wa klabu ya Athletico Madrid, Jan Oblak kama mbadala wa goli kipa Thibaus Courtois, ambaye hivi karibuni amekuwa akihusishwa kuondoka katika klabu ya Chelsea. Courtois, ameshindwa jana kurejea mazoezini katika klabu yake ya Chelsea, huku akitaka kuondoka Chelsea, na kujiunga na klabu ya Real Madrid. Chelsea wapo tayari kumsajili goli kipa wa Athletico Madrid, kabla dirisha la usajili halijafungwa.


Goli kipa wa klabu ya Manchester City, Joe Hart, anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya na klabu ya Burnley, na kusaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Burnley. Hart, mwenye umri wa miaka 31 ameshindwa kupata namba katika kikosi cha Manchester City, chini ya P... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More