Chelsea mbioni kunasa mshambuliaji - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chelsea mbioni kunasa mshambuliaji

“Mchezaji anapotaka kuondoka ni ngumu kumshawishi sana kubaki” Gattuso akimuongelea


Taarifa zinasema kuwa Higuain amekwisha malizana na Chelsea muda wowote atajiunga na miamba hiyo ya darajani.David Luiz amesema mkataba wake ukiisha ndani ya Chelsea ataangalia uwezekano wa kurejea klabu yake ya awali ya Benfica.


Kinda wa Barcelona Munir El Haddadi anatarajia kufanya vipimo vya afya kujiunga na Seville.


Real Madrid inasemakana itajaribu kuangalia uwezekano wa kumnasa mshambualiaji wa Spurs Harry Kane ambaye klabu ya Spurs imetaya mchezaji huyo haondiki bika dau la £310M sawa na Bilion 930 za Kitanzania.


Uongozi wa klabu ya Singida United, hii leo umeamua kuimarisha benchi la ufundi kwa kuwaajili makocha wawili kufanya kazi ambao ni rai wa Serbia na wamewahi kufanya kazi hapa nchini kwa mafanikio.


Kocha mkuu Popadic Dragan na kocha Msaidizi Dusan Momcilovic... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More