CHELSEA NA ARSENAL WASHINDWE WENYEWE EUROPA LEAGUE LEO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CHELSEA NA ARSENAL WASHINDWE WENYEWE EUROPA LEAGUE LEO

TIMU za Chelsea na Arsenal wanaingia katika michezo ya leo wakiwa na matarajio makubwa ya kufuzu kuingia nusu fainali .
Arsenal walishinda 2-0 nyumbani kwao dhidi ya Napoli katika mchezo wa kwanza,  huku Chelsea wakishinda ugenini dhidi ya Slavia Prague kwa bao 1-0.
Hata hivyo Chelsea walifungwa 2-0 ugenini kwa Liverpool na wako hatarini kumaliza msimu nje ya timu nne za juu kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza, hii inawaongezea sababu zaidi za kupambana ili kushinda taji la Europa. 
Mshindi wa Europa hupata tiketi ya moja kwa moja kushiriki ligi ya mabingwa barani Ulaya na kwa kusema ukweli hapo ndipo Chelsea na Arsenal wanatamani kucheza.
Naye mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Chelsea alisema kwamba mchezo wao dhidi ya Slavia Prague ndio mchezo mgumu zaidi ambao wamecheza katika Europa msimu huu. “Watajitahidi kufanya kila kitu ili kufuzu hatua inayofata. Tunajua kiwango chao, kwa hiyo tutajitahidi kumaliza kazi kwenye uwanja wetu”. Alisema
Mchezo wa Chelsea dhidi... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More