Chelsea “wahanga” wakuu wa sheria mpya za FIFA - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chelsea “wahanga” wakuu wa sheria mpya za FIFA

Kati ya timu ambazo zitaumizwa kutokana na sheria mpya ihusuyo masuala ya kutoa wachezaji kwa mikopo ambayo imetungwa na FIFA baasi watakuwa Chelsea.


FIFA inajipanga katika kuboresha namna ya utoaji wachezaji kwa mikopo katika timu nyingine na sasa mwisho wa kutoa wachezaji kwa mkopo itakuwa 8.Raisi wa FIFA Gianni Infantino anataka kuangalia jinsi ya kubana ukubwa wa timu na kama ikiwezekana kupunguza ukubwa wa wachezaji katika timu(waliopo na waliotolewa kwa mkopo).


Kwanini Chelsea itawaumiza?


Chelsea ndio klabu ambayo inaongoza kwa kuwa na wachezaji wengi ambao wako nje kwa mkopo, hadi sasa wana jumla ya wachezaji 40 katika vilabu vingine.


Moja ya wachezaji maarufu wa klabu hiyo walioko nje ni Mitchy Batshuayi aliyeko Valencia, Tiemoue Bakayoko aliyeko Ac Milan na Kurt Zouma anayeichezea Everton.


Wachezaji wa Chelsea waliotolewa kwa mkopo.Goalkeepers


Nathan Baker (Yeovil), Eduardo (Vitesse), Jamal Blackman (Leeds), Bradley Collins (Burton)


MABEKI


Baba Rahman (Schalke), Jake Clark... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More