CHELSEA YAANZA NA MOTO LIGI KUU ENGLAND, YASHINDA 3-0 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CHELSEA YAANZA NA MOTO LIGI KUU ENGLAND, YASHINDA 3-0

Wachezaji wa Chelsea FC wakimpongeza mwenzao, N'Golo Kante baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 34 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The John Smith, Huddersfield, West Yorkshire. Mabao mengine ya timu ya Maurizio Sarri yamefungwa na Jorginho kwa penalti dakika ya 45 baada ya Marcos Alonso kuangushwa kwenye boksi na la tatu Pedro dakika ya 80 ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More