CHELSEA YAIADABISHA NEWCASTLE UNTED, YAICHAPA 2-1 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CHELSEA YAIADABISHA NEWCASTLE UNTED, YAICHAPA 2-1

Willian akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao ka pili dakika ya 57 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Newcastle United leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao la kwanza la The Blues limefungwa na Ciaran Clark dakika ya tisa na bao la kusawazisha la Newcastle limefungwa na Ciaran Clark dakika ya 40                                          ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More