CHELSEA YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-0 UWANJA WA ST. MARY'S - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CHELSEA YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-0 UWANJA WA ST. MARY'S

Kiungo Ross Barkley (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake Eden Hazard (kulia) na Olivier Giroud (katikati) baada ya kuifungia bao la pili Chelsea dakika ya 57 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. Mary's. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Hazard dakika ya 30 na Alvaro Morata dakika ya 90 na ushei ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More