Chelsea yamnasa kiungo wa Madrid, Sanchez anena - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chelsea yamnasa kiungo wa Madrid, Sanchez anena

Ni miaka 37 imepita tokea Roger Federer azaliwe


🎾 1,415 Michezo

✅ 1,161 ushindi98 Vikombe


🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 8x @Wimbledon
🏆🇦🇺 6x @AustralianOpen
🏆🇺🇸 5x @USOpen
🏆🇫🇷 1x @RolandGarros

🥇🌍 1x @OlympicsSiku kama ya leo mwaka 2011 Alex Oxlade-Chamberlain, alijiunga na klabu ya Arsenal, kwa ada ya uhamisho wa paundi million 12.

Michezo 198

Magoli 28

Makombe ya FA 3.Kocha mpya wa Chelsea Maurizio Sarri, ameonya kwamba huenda ikachukua mpaka miezi mitatu kwa kikosi cha Chelsea kucheza katika ubora wake.


Muitaliano huyo anaamini kwamba, kushindwa kufanya kazi na baadhi ya wachezaji ambao walihusika katika fainali za kombe la Dunia ndio kumechangia kuvuruga mipango yake.


“Nina furaha sana kwa mara ya kwanza hapo kesho (Leo Jumatano ) ndio nitafanya kazi na wachezaji wangu wote”“ Kwa miezi miwili au mitatu ndio tunaweza kuwa timu nzuri , inabidi tusubiri .”


Kiungo wa klabu ya Real Madrid, Mateo Kovacic, amewasili London, kwa ajili ya kufanyiwa vipimo na kujiunga na klabu ya Chel... Continue reading ->Source: Shaffih DaudaRead More