Chelsea yamuwinda mrithi wa Fabregas, Klopp anena kuhusu Keita. - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chelsea yamuwinda mrithi wa Fabregas, Klopp anena kuhusu Keita.

Kiungo wa Cagliari Nicolo Barella yupo mbioni kutua kunako klabu ya Chelsea kwa kitita cha Paundi Milion 45. Inasemekana Barella anakwenda kuziba pengo la Cesc Fabregas ambaye taarifa zinasema kuwa Chelsea ilimpa mkataba wa mwaka mmoja lakini Monaco wakamuahidi mkataba wa miaka mitatu.


Klabu ya Real Madrid imeingia kuvunja benki na kutoa kitita cha Paundi milion 100 ili kumnasa kiungo wa Spurs Christian Eriksen ambaye klabu yake imesema hauzwi kwa gharama yeyote.


Kidokezo: Tz Prisons vs Mtibwa


Mtibwa haijawahi kuwafunga Tz Prisons wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani sokoine.


Mechi 5


Ushindi: 0


Vipigo: 1


Sare: 4


Brahim Diaz amekamilisha vipimo vya afya kujiunga na klabu ya Real madrid kwa mkataba wa miaka 6


PATA KIFURUSHI


JKT Queens inaongoza ligi ya wanawake ikiwa na tofouti ya magoli 31. Anayemfuata ana tofauti ya magoli 9.


WAFUNGAJI BORA


FATMA MUSTAFA – JKT – 14


ASHA RASHID – JKT – 11


AISHA HAMIS – ALLIANCE – 6


MWAMTUMU RAMADHAN – PANAMA- 5


AMINA RAMADHAN – SIMBA ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More