Chelsea yaridhia kumuuza Courtois kwenda Madrid kwa mabadilishano ya Mateo Kovacic - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chelsea yaridhia kumuuza Courtois kwenda Madrid kwa mabadilishano ya Mateo Kovacic

Chelsea imekubali kumuuza mlinda mlango wake raia wa Ubelgiji Thibaut Courtois Real Madrid huku ikihitaji nyongeza ya kiungoo Mateo Kovacic kwa mkopo wa muda mrefu.


Source: BBC SwahiliRead More