CHELSEA YASHINDA KWA PENALTI 5-4 KUTWAA KOMBE LA MABINGWA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CHELSEA YASHINDA KWA PENALTI 5-4 KUTWAA KOMBE LA MABINGWA

Kipa Rob Green akiokoa penalti ya Pape Cheikh Diop katika mechi yake ya kwanza kuidakia Chelsea ikishinda kwa penalti 5-4 dhidi ya Lyon ya Ufaransa katika fainali ya Kombe la Mabingwa wa Kimataifa jana Uwanja wa Stamford Bridge na kumpa nafasi Eden Hazard kufunga penalti ya mwisho ya ushindi baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More