CHELSEA YAZINDUKA, YAICHAPA FULHAM 2-0 STAMFORD BRIDGE - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CHELSEA YAZINDUKA, YAICHAPA FULHAM 2-0 STAMFORD BRIDGE

Wachezaji wa Chelsea wakimkimbilia mwenzao, kiungo Ruben Loftus-Cheek kumpongeza baada ya kufunga bao la pili dakika ya 82 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la kwanza la The Blues limefungwa na Pedro dakika ya nne na kwa ushindi huo Chelsea inafikisha pointi 31 baada ya kucheza mechi 14 na kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England  ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More