Chid Benz Ataka Afande Sele Aombe Radhi Haraka - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chid Benz Ataka Afande Sele Aombe Radhi Haraka

Baada ya mwanamuziki Afande sele kutangaza kuwa mtu yoyote anaevuta unga au kujihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya basi huyo ni shoga, msani Chid benz amefunguka na kumtaka msanii huyo kuomba radhi hadahrani  kwa kauli yake hiyo.


Kauli hiyo ya Afande sele imemuuumiza sana msanii Chid benz kwa sababu hata yeye pia ni moja ya waathirika wa madawa ya kulevya hivyo amemtaka afande sele kwa kumpa masaa 19 tu na kujitokeza ksiha kuomba radhi mbele ya watu la sivyo atajua cha kumfanya.


Kauli hiyo ilitolewa na  Afande sele alipokuwa stegini wikiend iliyopita  katika tamasha la Wasafi festival lililofanyika huko Morogoro.


The post Chid Benz Ataka Afande Sele Aombe Radhi Haraka appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More