Chilunda atuma salamu Hispania - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chilunda atuma salamu Hispania

Mshambuliaji Shabaan Idd Chilunda ametuma salamu Hispania kwa kuibuka mfungaji bora wa mashindano ya Kombe la Kagame kwa kuichapa Simba 2-1 katika fainali iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.


Source: MwanaspotiRead More