China yathibitisha kumshikiria Rais wa Interpol - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

China yathibitisha kumshikiria Rais wa Interpol

NCHI ya China imethibitisha kumzuia Rais wa Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol), Meng Hongwei ikidai kuwa anafanyiwa uchunguzi na Tume ya Kupambana na Rushwa juu ya tuhuma ya ukiukaji wa sheria inayomkabili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wakati hayo yakijiri, taarifa zinaeleza kwamba Interpol imepokea barua ya kujiuzulu kwa Meng kutoka katika ofisi ya ...


Source: MwanahalisiRead More