CHIRWA AIBUKIA TIMU YA DARAJA LA PILI MISRI, SIYO ISMAILIA TENA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CHIRWA AIBUKIA TIMU YA DARAJA LA PILI MISRI, SIYO ISMAILIA TENA

Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia, Obrey Chirwa (kulia) akiwa na jezi ya timu ya Nogoom El Mostakbal FC ya Daraja Pili nchini Misri baada ya kujiunga nayo akitokea Yanga ya Tanzania aliyochezea kwa misimu miwili kufuatia kuwasili akitokea Platinums FC ya Zimbabwe. Awali iliripotiwa Chirwa atajiunga na Ismailia ya Ligi Kuu 


Source: Bin ZuberyRead More