CHIRWA ANAVYOFURAHIA MAISHA ISMAILIA BAADA YA KUACHANA NA YANGA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CHIRWA ANAVYOFURAHIA MAISHA ISMAILIA BAADA YA KUACHANA NA YANGA

Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia, Obrey Chirwa (kulia) akifurahia na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Ismailia hivi karibuni baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Yanga ya Tanzania aliyochezea kwa misimu miwili akiwasili kutokea Platinums FC ya Zimbabwe  


Source: Bin ZuberyRead More