Christian Bella, Chaz Baba wafunika - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Christian Bella, Chaz Baba wafunika

USIKU wa kuamkia leo wapenzi wa burudani waliofurika ndani ya ukumbi wa Kilimani Dodoma, walipata uhondo bab’kubwa kwenye onyesho la Sakata Dansi lililokutanisha bendi nane na kusindikizwa na wanamuziki Christian Bella,Chaz Baba na Kalala Junior.


Source: MwanaspotiRead More