CHUCHU HANSY KURATIBU MISS TANGA MWAKA HUU. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CHUCHU HANSY KURATIBU MISS TANGA MWAKA HUU.

Na.Khadija seif,Globu ya jamii
*Hakuna ushindi wa janja janja*Rashida wanjara kuwafunza warembo konki

KATIKA kurudisha fadhila kwenye sekta ya mitindo,Chuchu Hansy amejipanga kuratibu mashindano ya miss Tanga mwaka huu.
Akizungumza na Glovu ya Jamii msanii wa bongomovie ambae pia alikua miss Tanga mwaka 2005,Chuchu Hans amesema tayari amepewa vibali vyote vyakuendesha shindano hilo kuanzia kwa mratibu wa shindano la miss Tanzania Basilla Mwanukuzi pamoja na kibali kutoka baraza la sanaa (BASATA).
"Hii mi fursa ya kipekee kwa warembo kutoka mkoa wa Tanga kushiriki katika shindano hilo hivyo wachukue fomu mapema, na ni bure"
Hata hivyo chuchu ameeleza kuwa juni 6 mwaka huu fomu zitaanza kutolewa rasmi na mchakato wa mazoezi kwa watakaofanikiwa kuingia kambini yataanza 15julai ,na watahakikisha taji la miss Tanzania litakua zao la miss Tanga.
"Kwa sasa ni mapema mno kutaja zawadi kwa washindi ila washindi wategeme kitu cha tofauti na mashindano yaliyopita ,"
Aidha ametoa vigezo kwa washiriki kuwa aw... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More