Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia chapokea kompyuta 20 kwaajili ya mafunzo ya tehama - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia chapokea kompyuta 20 kwaajili ya mafunzo ya tehama

Wafanyakazi wa Tigo, kutoka Nyanda za juu Kusini, wakiwa katika ya pamoja na wahadhiri Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST baada ya makabidhiano ya kompyuta 20 katika chuo hicho zenye thamani ya 48m/- zilizotolewa na Tigo kwaajili ya kuchangia katika masomo ya TEHAMA katika chuo hicho mkoani Mbeya.


Mkurugenzi wa Tigo, Nyanda za juu Kusini, Henry Kinabo(katikati), akikaribishwa katika chumba cha kufundishia kompyuta katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) na Rasi Kampasi ya Rukwa, Dkt. Duncan Mwakipesile(Kushoto) baada ya makabidhiano ya komputa 20 zenye thamani ya 48m/- zilizotolewa na Tigo kwaajili ya kuchangia katika masomo ya TEHAMA katika chuo hicho mkoani Mbeya.

 


Katika juhudi za kuchangia malengo ya Serikali ya kuboresha na kuinua viwango vya elimu katika taasisi za elimu ya juu, kampuni inayoongoza katika maisha ya kidigitali nchini Tanzania, Tigo, leo wamekabidhi kompyuta za mezani 20, zitakazo wanufaisha wanafunzi 4,630 katika Chuo Kikuu cha Sayans... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More