Clouds tv Yathibitisha Ruge Mutahaba Kuwa Mgonjwa, Anahitaji Mapumziko - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Clouds tv Yathibitisha Ruge Mutahaba Kuwa Mgonjwa, Anahitaji Mapumziko

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kutaka kuweka wazi swala hilo la bosi na mkurugenzi na kipenzi cha wasanii na wadau wengi wa sanaa nchini Ruge Mutahaba, hatimaye uongozi wa Clouds media umewka wazi kuwa bosi wao huyo ni kweli alikuwa mgonjwa kwa muda sasa lakini amekuwa akindelea vizuri na afya yake.


Ruge ambae amekuwa mchango na msimamzi na kuibua ndoto za vijana wengi sana nchini , alianza kuugu mwaka huu mwezi june hivyo kutakiwa na madaktari kwa maelezo ya matibabu kuwa hakupswa kufanya kazi muda mrefu zaidi ya kupumzika.


Akitoa taarifa hiyo,  bwana Joseph Kusaga anasema kuwa Ruge ambae badi abaendela na matibabu lakini pia anahitaji muda mwingi wa mapumzika akiwa nchini afrika ya kusini kwa sasa anaendela vizuri na anahitaji maombi ya wadau kufanikisha matibabu yake salama.


Kwa muda mashabii na watu mbalimbali walitaka kujua hali ya mpendwa wao na hata kama kuna kitu wanaweza kufanya kwa ajili ya mpendwa wao waweze kufanya kwa ajli ya afya yake.


 


The post Clouds tv Yat... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More