Clouds waanza maisha mapya bila Ruge na Kibonde, haya ni mambo matano yatakayowabeba (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Clouds waanza maisha mapya bila Ruge na Kibonde, haya ni mambo matano yatakayowabeba (Video)

Clouds Media Group mwaka huu imepata pigo zito baada ya kuondokewa na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji, ndugu Ruge Mutahaba. Wakiwa bado na machungu ya kuombeleza msiba huo mzito ndani ya kampuni hiyo, waliondokewa tena na mtangazaji mahiri wa kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde ambaye alifariki siku chache baada ya kumzika Ruge.












Bongo5 imekuandalia mambo matano ambayo bado yataendelea kukibeba kituo cha Clouds Media licha ya kuwapoteza watu wake muhimu ambao walikuwa na mchango mkubwa wa kuifanya kampuni hiyo kuwa super brand kwa miaka mitatu mfululizo.





Legacy aliyoiacha Ruge 





Ruge ambaye amekaa Clouds Media kwa zaidi ya miaka 20, amefanya project nyingi ambazo zitamfanya aendelee kukumbukwa daima na kituo hicho na kuendelea kutembea kifua mbele. Kuendelea kufanyika kwa Fursa, Malkia wa Nguvu, pamoja na uwepo wa Fiesta ni vitu ambavyo vitakifanya kituo hicho cha redio na runinga kuendelea kutamba kwa kuwa kinaendelea kugusa maisha ya vijana katika nyanja mbalimbal... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More