CMSA YATAKIWA KUWEZESHA KAMPUNI NYINGI KUORODHESHWA SOKO LA HISA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CMSA YATAKIWA KUWEZESHA KAMPUNI NYINGI KUORODHESHWA SOKO LA HISA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Khatibu Kazungu (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Bw. Nicodemus Mkama, wakipeana mkono baada ya kumaliza Ziara ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2018/19 ya CMSA, jijini Dar es salaam.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatibu Kazungu (kushoto), akimsikiliza kwa makini Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Bw. Nicodemus Mkama, alipokuwa akieleza utekelezaji wa bajeti ya Mamlaka hiyo kwa mwaka wa Fedha 2018/19, jijini Dar es Salaam.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Khatibu Kazungu, akitoa maelekezo kwa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), kuhakikisha inaorodhesha Kampuni nyingi katika Soko hilo ili kuweka uwazi zaidi katika utendaji wao na kuchangia katika ongezeko la mapato ya Serikali kwa njia ya kodi.Mkutano kati ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatibu Kazung... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More