COCA- COLA YAZINDUA KAMPENI YA KUTUNZA FUKWE NA MAZINGIRA 'MCHANGA PEKEE' - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

COCA- COLA YAZINDUA KAMPENI YA KUTUNZA FUKWE NA MAZINGIRA 'MCHANGA PEKEE'

Mkurugenzi Mkuu wa Cocacola, Bazil Gadzios (kulia) amesema kuwa kampeni ya hiyo ni ya pekee na tayari kampuni ya Coca-Cola Kwanza imefikia makubaliano na serikali (upande wa halmashauri) kwa kufanya usafi wa fukwe ya Coco (coco beach) kama eneo la kuanzia huku lengo ni kufikia fukwe zote zilizopo nchini Tanzania.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mheshimiwa Daniel Chongolo akiipongeza kampuni ya Coca Cola Kwanza kwa kampeni yao ya 'Mchanga Pekee'. Pia ameipongeza kampuni ya EcoAct Tanzania kwa ubunifu wa kutengeneza vibao vya alama za barabarani kutumia Plastic tofauti na chuma ambazo watu huzing'oa na kwenda kuuza vyuma chakavu.Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Tanzania Leodegar Tenga, akitoa pongezi kwa Coca Cola Tanzania kuweza kuanzisha kampeni ya 'Mchanga Pekee' yenye lengo la kuelimisha, kufundisha na kuhimiza uhifadhi wa mazingira ya jamii zetu ikiwa imejikita katika ukusanyaji wa plastiki na usafishaji wa fukwe zetu.Msanii na Balozi wa Coca Cola Kwanza Mrisho Mpoto (Mjomba) akit... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More